|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuupiga mwingi kwa kutoa kibali cha kurekebisha posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum (Extra Duty) kwa Watumishi wa Umma nchini ambapo utekelezaji wake unaanza rasmi tarehe 01 Julai 2022.
https://www.jamiiforums.com/threads/rais-samia-apandisha-kiwango-cha-posho-ya-kujikimu-ya-safari-za-ndani-ya-nchi-na-malipo-ya-kazi-maalum-kwa-watumishi-wa-umma.1986661/
|